Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu. Tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
0 Reactions
9 Replies
224 Views
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
3 Reactions
22 Replies
369 Views
Pamoja na Mtandao kutatizika bado tunasubiri Kamanda Erythrocyte wa Ufipa st utujuze kilichojiri pale Chadema HQ mikocheni kwenye CC Makamu Mwenyekiti mh Tundu Lisu alionekana kuvaa T-shirt ya...
0 Reactions
8 Replies
257 Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
10 Reactions
98 Replies
2K Views
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper...
4 Reactions
11 Replies
378 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi amewataka Wanaume kuacha kutelekeza Watoto huku akiwasisitiza Vijana kuoa . Hapi amesema hayo akiwa Mkoani Singida May 10,2024 ambapo...
6 Reactions
18 Replies
292 Views
Nyumba ipo kigamboni kisarawe 2 Nyumba ina Vyumba viwili Jiko Sebule kubwa Choo Maji Kodi ni 130,000 kwa mwezi Nachukua kodi ya miezi 3 Karibuni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,350
Posts
49,601,066
Back
Top Bottom