Nakodisha nyumba

Flagin

JF-Expert Member
Mar 26, 2024
410
526
Nyumba ipo kigamboni kisarawe 2
Nyumba ina

Vyumba viwili
Jiko
Sebule kubwa
Choo
Maji

Kodi ni 130,000 kwa mwezi
Nachukua kodi ya miezi 3

Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom