Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
7 Reactions
59 Replies
873 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
351 Replies
4K Views
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
3 Reactions
24 Replies
330 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
6 Reactions
24 Replies
445 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
17 Reactions
291 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi . Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
13 Reactions
56 Replies
1K Views
AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6...
13 Reactions
61 Replies
695 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,295
Posts
49,596,065
Back
Top Bottom