Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
8 Reactions
88 Replies
1K Views
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila...
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana ya yule...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema...
21 Reactions
127 Replies
3K Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
31 Reactions
91 Replies
2K Views
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi . Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
13 Reactions
79 Replies
2K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi...
2 Reactions
24 Replies
338 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,362
Posts
49,597,776
Back
Top Bottom