Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi...
1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel.
2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano.
Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno.
Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida...
Kwanza nipende kushukuru kwa kupata kufahamu juu ya fursa hii, watanzania wote wanaweza kutoa mawazo yao tofauti tofauti,
Pia nichukue nafasi hii kuipongeza serikali toka awamu ya tano na ya sita...
Ni uwendawazimu wa kiwango cha juu mnoo kwa taifa la Tanzania lenye umri wa zaidi ya miaka 60, watu zaidi ya milioni 60, wasomi wa chuo kikuu karibu au zaidi ya milioni moja kuendelea kukumbatia...
TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE
MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS
Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.