Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
4 Reactions
5 Replies
18 Views
Wanabodi, Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa...
14 Reactions
187 Replies
12K Views
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi. Matatu ni neno la mtaa lenye...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
217K Views
Simba kweli mambumbu yaani huyu mkongo kibu Denis anasusa kabisa kusaini eti wanambembeleza chezaji lenyewe garasa hamna kitu ligi nzimba Gori Moja straika Gani huyo aisee makolo kazi lnayo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago. Wakati nafanya kazi Dar es Salaam kwenye kampuni fulani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike. Kila ofisa...
34 Reactions
347 Replies
91K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,350
Posts
49,597,106
Back
Top Bottom