Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
16 Reactions
287 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?" Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya...
5 Reactions
33 Replies
762 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Marekani Kupitia Ibalozi wake imetoa Msaada wa Maboza 6 ya Maji yanayojiendesha Kwa Jeshi la Tanzania JWTZ. Maboza hayo Yana uwezo wa kusukuma maji Lita 2400 Kila Moja na ni maalumu kutumika...
3 Reactions
29 Replies
706 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
18 Reactions
318 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
7 Reactions
105 Replies
1K Views
NEW ARRIVAL⚠️ PORTABLE SPEAKER 8HRS PLAY TIME 🏷️ *70,000/= Wakubwa nauzaa spika Zipo vizuri sana Bei kitonga kabisa Jumla na rejarejaaa Tafadhali nicheki kwa kawaida au whatsapp - 0692690033
1 Reactions
14 Replies
320 Views
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
2 Reactions
12 Replies
172 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,293
Posts
49,595,899
Back
Top Bottom