Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
2 Reactions
38 Replies
657 Views
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
12 Reactions
45 Replies
983 Views
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
13 Reactions
119 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
4 Reactions
7 Replies
18 Views
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA, Naombeni mnisaidie hili swali, Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo, Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
3 Reactions
49 Replies
483 Views
Hiv
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii.
0 Reactions
3 Replies
8 Views
Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
15 Reactions
774 Replies
181K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,352
Posts
49,597,179
Back
Top Bottom