Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.