Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Adsense imeruhusu Matangazo hata Blog za Kiswahili nimejaribisha jana ikakubali nikaona sio vibaya kushiriki na wadau wengine
3 Reactions
3 Replies
54 Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
9 Reactions
34 Replies
487 Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu. Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda...
18 Reactions
94 Replies
4K Views
Juzi mama wa mwanangu alikua anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama...
9 Reactions
18 Replies
172 Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
39 Reactions
51K Replies
2M Views
Kanda ya ziwa inatengenezwa jiji la Mwanza, mkoa wa Shinyanga, Geita, Simiyu, Kagera na Mara. Jumla ya mikoa 6. Mikoa hii ni mikoa na kanda yenye idadi kubwa ya watu. Ni kanda inayoongoza kwa watu...
6 Reactions
34 Replies
26K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
9 Reactions
111 Replies
2K Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
392 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,309
Posts
49,596,417
Back
Top Bottom