Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu...
23 Reactions
87 Replies
1K Views
Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000 Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k...
1 Reactions
3 Replies
6 Views
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
1 Reactions
52 Replies
913 Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
84 Reactions
950 Replies
18K Views
Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada...
2 Reactions
2 Replies
487 Views
Habari za jumapili! Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
1 Reactions
6 Replies
26 Views
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na...
10 Reactions
33 Replies
603 Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
13 Reactions
93 Replies
3K Views
CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni...
13 Reactions
95 Replies
1K Views
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, sijui ndo Bangi zenyewe! anyway "Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka historia za watu wa kale...
5 Reactions
22 Replies
394 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,329
Posts
49,713,594
Back
Top Bottom