Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali.
1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo?
2...
1.Anakula hotelini vyakula vyenye afya familia inakula ugali kila siku.
2.Anakunywa vinywaji vizuri baridi watoto wanakunywa maji hajali.
3.Anavaa nguo nzuri za bei wanafamilia wanavaa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na...
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu...
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Habari za jpili! Miaka ya nyuma TACAIDS walikuwa mstari wa mbele kufanya harakati za mapambano ya maambukizo mapya ya hiv. Kwa namna moja au nyingine ilisaidia mabinti kuogopa Mafataki. Leo hii...
Habari Wana JF
Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai
Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.