Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka...
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya...
Habari za muda ndugu zangu watanzania.
mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje.
kwa Sasa maisha kwa hapa...
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.