Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia...
Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare...
MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
CHALINENEE
Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha...
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.
Kuna magauni ya...
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
Wadau nawasalimu.Najua kulikubali hili mpaka uwe na akili kubwa.
Mwekezaji Mo Ana asilimia 49 ya Hisa na Wanachama wana asilimia 51
Swali la Msingi
1.Je thamani ya Asilimia 49 za Mo zina Thamani...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.