Although it is not my fault, first of all I would like to apologize to all JF members with inability to read and understand whatever written in English. I really wanted to write this thread in...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Hii 👇 ni tukio la Leo
📍Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wakubwa samahani,
Mimi nimemaliza form four mwaka 2023 na nimepata division 2 point 20 nataka kwenda chuoni moja kwa moja. So Nilikuwa naomba mnijuze kozi za art ambazo soko lake la ajira sio gumu.
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
Serikali imesema kuwa zoezi la uthamini liliofanyika limebaini kwamba inahitajika jumla ya kiasi cha Tsh. Bilioni 11.3 kwa ajili ya kuwalipa wananchi waliokuwa kwenye eneo la karibu na uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.