Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni watu flani simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai. 2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki. 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni. 4. Mdigo akioa au...
5 Reactions
18 Replies
758 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
27 Reactions
132 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
3 Reactions
138 Replies
2K Views
Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
habari wakuu , nahitaji google adsense ya kununua mpya au ambayo ishatoa pesa kama unayo ni dm tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Waliosema kuishi kwingi kuona mengi hawakukosea hata kidogo. Wakuu, finally nimependa. Sikujua kwamba wakati wa kuoa ukifika basi hutahitaji kushawishiwa au kulazimishwa. Nimepata kabinti kangu...
25 Reactions
344 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,292
Posts
49,599,184
Back
Top Bottom