Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake. Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
1 Reactions
7 Replies
179 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Wasalaam wana JF Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli. Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi...
122 Reactions
553 Replies
33K Views
Mary Chatanda huyu mwenyekiti wa UWT kitendo cha kutoka hadharani kutetea wezi wazembe na wanadhirifu wa mali za umma hafu tukae tunachekeana chekeana tu bila sababu maalumu it's a big no...
2 Reactions
7 Replies
487 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
11 Reactions
245 Replies
5K Views
Je, unafahamu kama RC Meck Sadiki ni Mtumishi na kiongozi Mwadilifu katika Chama na Serikali? Utumishi CCM A. Katibu Wa Chama Wilaya; 1. Liwale 2. Manyoni 3. Iramba B. Katibu Wa Chama Mkoa; 1...
14 Reactions
65 Replies
17K Views
iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui) picha linaanza. moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency...
0 Reactions
10 Replies
141 Views
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na...
7 Reactions
69 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,208
Posts
49,709,723
Back
Top Bottom