Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters.
Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa...
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
hii ni kwa uchache sana kwa sasa,
Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka.
Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma.
Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani
Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara ...
...Ya Rasimu ya Katiba ya Muundo wa Serikali Tatu?!.
Wanabodi, naomba nianze na Preamble ya sarufi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili kuhusu semantiki ya neno "kinyume cha maumbile" kwa maana safi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.