Recent content by ZZKMBEYA

  1. ZZKMBEYA

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Kuna siku tena nimeota shule hiyohiyo ya msingi nlosoma miaka mingi sana,mmoja wa aliekuwaga mwl mkuu kipindi hichoo.eti ananikimbiaza vibaya sana huku akiwa amevaa suti, nilikmbia sana kuizunguka shule na yeye yupo nyuma ananikimbiza sana.nilipokaribia upande wa pili wa shule nilimkamata...
  2. ZZKMBEYA

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Asante sana
  3. ZZKMBEYA

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Habari,ni Mara ya kwanza kukuona nimefurahi kwakuwa ktk watu wanaoongoza kwa kuota nahisi naongoza duniani:Nina maswali Mengi ambayo sijawahi kupata ufumbuzi:kwa Leo naomba nisaodie kutafsiri hii ndoto:kuna siku niliota nipo shule ya msingi ambayo nilisoma miaka mingi sana,nipo kwenye uwanja...
  4. ZZKMBEYA

    Nini kimewakumba Halotel?

    Kweli kabisa,wameshachemsha bado mapemaa
  5. ZZKMBEYA

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Utakuwa huna mtoto wewe, hujui uchungu wa Mtoto.hao wagumba wenyewe wanasikia uchungu sembuse wewe.basi tufanye huna Mtoto haya ukute Mdogo wako kapata kipigo kile ungefurahi
Back
Top Bottom