Recent content by ZWAMBATUMA

  1. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ukiamka utajuwa.
  2. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza ku-test Mitambo

    Bado wanakazi ya kufanya wanaanzisha, baadaye wanatia huruma marekani bado ananguvu labda tuwachangiie hawa wakora.
  3. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tumepokea barua za wabunge wawili kati ya 19 tuliowafukuza uanachama CHADEMA, wanataka kurudi

    Yupo sehemu salama mnamkumbuka mwache aende nafasi yake haipo.
  4. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Naiwe hivyo siyo mkikwam nkimbilia maandamano maana mnapenda kucheza na majukwaa na kulalamika huku unajuwa huku hakuna msaada ngoja tuone.
  5. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Itabidi nifanye uchunguzi kwakina nilikuwa sijui hilo
  6. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Hee mbona hii mi kubwa kuliko.
  7. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania M23 inaelekea Bukavu mjini

    Afrika inasikitisha sana kwahili la kongo lazima tuonekane wa ajabu sana, anayekufanyia ubaya ndiyo unamuamini hawa watu siyo wazuri kwetu. Leo kwa mwenzio kesho kwako
  8. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ni bure kabisa!

    Hayo yote yanawezekana kutokana na aina yakichwa chako kama bufa utafosi lakini kam ni memoryQ huwezi fosi .
  9. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Wapinga Chanjo, ARVs na Condom msichekelee sana amri ya Trump kusitisha misaada

    Umepiga humohumo nahatahizohela zikija badozinachotwa.tufanyeje sasa maana tunaowaamini ndiyowanatugeuka
  10. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

    Nikweli lakini siyo jambo lakufurahia maumivu utayaona baadaye na hasa wewe uwemwathirika.
  11. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Safari bado mapambano bado tunaendelea na mabadililko ngoja tuone.
  12. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda na Mchengerwa mbona hamko serious na kazi zenu?

    Wanafunzi nao wabishi hawachapwl wataelewaje
  13. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

    Kama kweli vile ila bado gemu inaendelea mlikuwa wapi nyie maana nona hata wewe walewale tu maana sikuelewi balozi
  14. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Sema mimi sina akili lakini watu walnaakili sana tu lllila hawapewi nafasi. Natena. Huwa wanaenada kufanya kat.
  15. ZWAMBATUMA

    JamiiForums Tanzania Nashauri Makonda ahamishiwe Dodoma ili Makao Makuu yachangamke

    Jamani mbon dodoma ipo safi
Back
Top Bottom