Recent content by Zuste

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kocha ndo kaaribu timu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bola tu LVG aondoke atuachie timu yetu.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

    Kuna titanic , Pala naweee, Soldier boys, Mask ya jet leee
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

    Movies ninazozikumbuka mimi ni 1. Dame msarabani au saibog macho ya paka 2. Anod ya jini 3. Anod ya jen 4. mniga analiwa na mambo 5. komando kipesi 6. dame marasta 7. matiasi kisima cha mamba Hizi movie tulikuwa hatuzijui kwa kiingereza hivyo tukazitunga majini ya kiswahili. Kuna msemo ule wa...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Season 1&2 Zina episode 13 mkuu
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mbona last ship ipo full season na zipo 13 mkuu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wadada na wataalamu wa Mimba nisaidieni hapa

    Huwezi pata mimba, inatakiwa uhesabu kuanzia siku anayo anza bleed hadi siku ya 10 kuanzia siku ya 11-18 ndo kuna possibility ya kupata mimba coz hizo siku ndo za ovulation kwa mwanamke.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki wapigwa marufuku kuchezwa katika vituo Radio na Televion.

    Nimeshapigwa Sana mkwala Na Jumbe Za vitisho Ila siamini huu Msafara Ni vibaraka Wa mrisho, Situlianza Sawa vita ya Kuitetea IKULU Leo umeisaliti Ukawa Kwenye sherehe Za Uhuru, Uhuru Uko Wapi Mnasherekea Uhuru, Uhuru Wa kutowafilisi viongozi wakijiuzulu, Na wanaokufa Maskini Wanangu Wa Burya...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Taa ya OD haitakiwi kuwaka kwenye dashboard pindi uendeshapo gari, Kazi ya OD ni kupunguza speed ya gari pale unapokiwa above 100, ko ikiona taa ya OD imewaka ujue OD ipo OFF, hutaweza kuendesha gari zaidi ya speed 100.
Back
Top Bottom