Siku zote kwenye maisha hua tunapokea fursa kisha tunajipa nafas ya kuzifanyia upembuz yakinifu tukijiridhisha hua tunachukua hatua..Ila kwa wajinga hua wanakurupuka na kila wanacholetewa bila hata kujibu nafas ya kusoma..kwa maneno yako yana nafas kwa wajinga tu…
Nimeona uwezo wa kiakil ulivyodhaifu…Tatizo unatoa maelekezo kwenye kitu ambacho hukijui…yan nilitegemea maswal kujua hii mifumo inafanyaje kaz..Unaona umetoa wazoo
Unasema hujui blockchain hapo hapo unataka kuongelea mifumo ya blockchain..na kuonyesha ni utapeli sasa hua ujuz umeutoa wapi na uliisha sema huijui blockchain….ushaur wangu kajifunze kwanza afu ndio uje kuiongelea
Mimi naongelea Blockchain wee unaleta story za platforms…..au ulitaka ili mrad na wee uonekane umechangia mada..bas kabla ya kuchangia nenda usome ujue unachotaka kukiongelea
Txt zote hakuna hata moja ambayo nimeishangaa hii ni kwasababu Nilijua nawapa taarifa jamii ya aina gan..Ni waz hakuna mwenye uelewa juu ya blockchain kwa txt zenu..afu ukiona kitu kigen tumia nafas hiyo kuuliza maswal ili kujua ..mpe challange mtoa taarifa..najua tuko nyuma sana kimaarifa ndio...
Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.