Recent content by Zungo

  1. Z

    Mrejesho:Baada ya Kuibiwa na Mtumiaji wa Kupatana

    ID ya Jamaa yupo Airport nae aliona Jamaa anauza vitu bei rahisi katika kuongea ongea jamaa ndo akamtumia kitambulisho....Huyo mwizi akaona ndo chance kuanza kukitumia
  2. Z

    Mrejesho:Baada ya Kuibiwa na Mtumiaji wa Kupatana

    Yah Mkuu ni kweli acha Tu kweli Mungu kafanya Wepesi
  3. Z

    Mrejesho:Baada ya Kuibiwa na Mtumiaji wa Kupatana

    Haiwezekani kwa sababu hajanitumia yeye!
  4. Z

    Mrejesho:Baada ya Kuibiwa na Mtumiaji wa Kupatana

    Kweli mkuu tamaa iliniponza sanaaaaa kwa kupenda Slope jamaa akawa kaniweza
  5. Z

    Mrejesho:Baada ya Kuibiwa na Mtumiaji wa Kupatana

    Habarini....Itakumbukwa kuwa nilokuja hapa na Thread ambayo nilielezea jinsi yule jamaa alivyo niibia baada ya kunambia angeniuzia Mackbook pro kwa Laki 2.5! yule jamaa anae jifanya anatokea Njombe Ludewa Wengi walinishauri na kunipa pole na kutoa mitazamo yao Thanks for that! Lakini pia...
  6. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Na kila siku whatsap namuona Online huyu jamaa text anasoma lakini hajibu! na kila siku anapost vitu kupatana
  7. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Nilimuliza wewe Ludewa unapokea vipi mizigo akasema inatumwa zanzibar yeye ndo anako pokelea na kupelekwa Ludewa inaweza kuwa ni mzanzibar huyo jamaa
  8. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    yaa namba ndo hiyo hiyo
  9. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Asante mkuu mimi kanipiga 250 huyu jamaa
  10. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Hio ni picha alio nitumia na kusema huyo ndio mke wake ambae kaka ake yupo Uk ndo huwa anawatumia vitu hivyo, akanitumia na chating yake na mtu mwingine alie dai kuwa amenunua hp na nikaju huyu nae kapigwa kama mimi
  11. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Baada ya hapo nikamuliza sasa tutafanyaje biashara na mimi nipo mbali na Njombe? akasema unaeza kuja kuchukua au nikakutumia kwasababu upo mbali na akadai kuwa kuna gari inakuja huku itaniletea,nilimtumia Laki mbili na nusu kwenye namba yake ya tigo ambayo ni hii 0679746914 kwa jina la michel...
  12. Z

    Nimeibiwa, nitamkamataje huyu mtu!?

    Habarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili...
  13. Z

    Natafuta msichana wa kuhang nae out

    Nimeumizwa sana hadi sasa sitamani kuwa na mtu yeyote kimapenzi naona ni stress tu na wana nipotezea mda bora niwe na mtu ambaye nitakua na enjoy uwepo wake
  14. Z

    Natafuta msichana wa kuhang nae out

    Dada awe modal asiwe bonge plz
Back
Top Bottom