Kwa sasa hv hakuna solution zaidi ya, self isolation, na social distancing. Jiokoe mwenyewe uokoe wengine hakuna dawa chukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna tunavochukulia mambo rahisi rahisi Tanzania, itageuka kisiwa cha vita ya kufa bila kukabwa wala kuuawa.
Tunakimbilia kusema tuna maisha magumu ni kweli kabisa maisha yetu ni magumu lakini tulipofika sasa, maisha magumu ya mwingine yasikuuwe na wewe.
Tuliona kabisa uongozi wetu...
Sidhani kama ni kweli, naona akina majinjah akina nganga arusha express, jambo wote wananunua used na wanapiga mikoani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.