Nimepambana sana kupata wauzaji wa scania bus lakini nagonga mwamba, haswa ni kutokana na wauzaji wengi kuuza bus ama chasis zisizosupport system na miundo mbinu yetu, ikiwa system yetu ni left driving inayoihitaji bus iwe right wheel na pia bus asilimia kubwa ni engine nyuma.
Any assistance nitafanikiwa vipi kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Any assistance nitafanikiwa vipi kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app