Recent content by Zum

  1. Zum

    JamiiForums Tanzania KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  2. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Pamoja boss. Mungu akubariki kwa ufafanuzi
  3. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Shukran kiongozi kwa muongozi wako.
  4. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    asante kwa ushauri wako, lakin unaweza nifafanulia kidogo hasa huduma ambazo naweza toa na vifaa vyake vinaweza hitaji kiasi gani.
  5. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    shukran kwa ushauri,,lakini katika moja ya nipndvyo ni kufanya kama mojawapo ya utoaji wa huduma za kiofisi. kama mtaji unaruhusu, sina hakika sana kama naweza wekeza apo na mtaji ukatosha
  6. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    sawa mkuu ntafanya hivo,asante kwa ushirikiano
  7. Zum

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  8. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Shukran...ila kwann bro..nipe kidgo mchanganuo
  9. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Kam ww ulivyotumi "Comp Science" badala ya Computer" ila point nkaifahm nn unazungumzia. Maan Comp haijakamilika pia.inweza ikaleta maan nyng...
  10. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Mkuu kuandka certfct nmeandk inshot tu..laknvzr umeelewa nmemnsha nn..maan nmeon haina hya ya kuek nots ndef wakt nawez tumia kifup na mtu akaelewa vzr.nmtumia lugha ya mkato inayo eleweka kiongoz.
  11. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    ila #Mla bata minsubri ushaur wako naww unanshaurije[emoji28]
  12. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Hapn mim nna certfct tyar sio km nd ntaka kuanza moja..ila nlistop tu kutkn na mamb ya kiuchum ndio skuendlea na DP
  13. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Mla bata# kivp sjakuelewa nmeharb kivp
Back
Top Bottom