Recent content by Zulkifu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Jamani hapo tuondoe ushabiki...Israel ni inchi ambayo haikutakiwa kuwepo,ni inchi iliyowekwa kwa lazima na wamarekani. Tukiondoa ushabiki ile ni vita ya kidini. Na wao wanajua sana hilo na Kihistoria wale wamelaaniwa na hiyo haina ubishi ipo kwenye Qur'an na hata biblia. Soma hapa[emoji116]...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Hapo hilo swali linakuja kwako"kwanini wewe unaasi?na akili unazo?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Usidhani anelalamika ni binadamu"kumbuka hakuna binadamu anaekalamika kuhusu huo utatu bali, watu wamesoma kwenye vitabu na wakawa wanawafikishia watu. Kiujumla anaelalamika hapo ni MUNGU mwenyewe...anakataa hawezi kuwa na huo utatu ambao munauita mtakatifu. Unajua hata Mimi ningekuwa mkristu...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Kwa kila anaejua kuna mjuzi zaidi yake,kile usichokijua wewe usione hakipo ndugu.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Kaka wakristu hawana miungu watatu.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Hapo mkuu tumekuacha kidogo pole bhana..[emoji23]
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Angalia namna ambavyo MUNGU anavyochukia inaposemwa ana mwana au hiyo nafsi nyingine.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Qur'an imekuja kubainisha haya,hivi mungejuaje kama kitabu kimechezewa?
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Ngoja nikukumbushe jambo: Huko juu nimeandika kuwa"namna ambavyo wanapinga wasio waislamu wa sasa ni sawasawa na wale ambao ni makafiri wa zamani wakati wa zama za Nabii Mussa:[emoji116] Mfn: MUNGU anasema,hauji muujiza lazima adhabu itafata mbele yake. Sasa basi,Musa alipotumwa aende kwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Uislamu unasema hivi. Na kwa hakika hakukuwa na tofauti katika mitume tuliowatuma,tuliwaambia waseme"MUNGU ni mmoja muabuduni yeye peke yake. Pia[emoji116] Kuna sura kwenye Qur'an inasema. Sema"ewe Muhammadi MUNGU ni mmoja,na yeye ndie mwenye kuabudiwa"hakuzaa na wala hakuzaliwa na hakuna...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Juu
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Mbingu ni mahala ambako malaika huishi na sehemu ambayo MUNGU kaweka siri zake
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Binadamu aliumbwa na akawekwa huko mbinguni akapumzika vizuri kabisa. Mbinguni ni sehemu inayoheshimika mno,kumbuka yeye mwenyewe binadamu ndie aliefanya fujo huko...mwishowe akafukuzwa. Kumbuka binadamu ana akili kwanini asiitumie? Je angenyimwa ingekuwaje. Ona hao wanyama wamenyimwa wana...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Na ndio maana ikashuka QURAN ukichunguza kwa umakini utagundua ujio wa biblia unashawishi kuwepo kwa miungu mitatu...hali kama biblia ingekuwa inafundisha MUNGU mmoja Qur'an isingeshushwa...hakuna kitu anachochukia MUNGU na hatosamehe kama kusema kuna anaeshirikiana nae kwenye cheo chake.(yeye...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Vita takatifu. Ni nini hiki?

    Hapana: MUNGU ni mmoja,hata yeye kwenye Qur'an anasema"anachukia sana kitendo cha binadamu kuabudu asiekuwa MUNGU kwani kama kungekuwa na miungu wengine.[emoji116] Mbingu ingepasuka na hata nidhamu ya jua ingebadilika kwani hao miungu wangekuwa wanagombana. Lakini kwa kuwa MUNGU ni mmoja ndio...
Back
Top Bottom