Huu ukaskazini ndio unatufanya wakaskazini tuchangishane fedha kwa ajili ya Lowassa. Wewe Msengerema kuwa na adabu acha ubaguzi. Mbona nyie waswahili mmetutawala Mara 2.
Wadau naomba niutaarifu umma wa watanzania kinachoendelea kwenye wilaya ya mvomero kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mpaka sasa hakuna kituo hata kimoja ambacho kipo wazi kwa ajili ya watu kupiga kura. Hii imetokana na kukosekana kwa vifaa vya kupigia kura. Hakuna kifaa hata kimoja...
Wewe ndio mke wake. Jamaa alishinda kesi na alirudishiwa ubunge kwa pesa ya ufisadi kwenye pembejeo za ruzuku ambazo zinatokana na mikopo toka kwenye taasisi na nchi nyingine za kimataifa alafu sisi watanzania tunadaiwa na deni la taifa linaongezeka wakati aesh kwa kupitia kampuni yake hewa ya...
Yah aesh aliiba kura na wana sumbawanga tukataka tumfanyie kazi akakimbilia mpanda nyumbani kwa pinda kuhifadhiwa. Huyu ni mbunge MAFIA. Hatumtaki tena na anajua hana lake hapa sumbawanga mjini.
Leo dada FF unamsaliti baba yako crisant majiyakunde mzindakaya. Wewe si ndio sister V mmoja wa wajumbe wa secretary ya itikadi na uenezi ya nyinyiemu pale lumumba?
Vailet Mzindakaya jaribu kuwa na busara basi. Leo nimeamua nikutolee uvivu. Hili ndio tatizo la kupeana vyeo. Tangu upewe cheo cha uenezi umekuwa ----- sana na kujitoa akili. Mwenezi badilika hata kidogo.
Hakuna mtu asiyejua hilo. kwenye pembejeo kuna maviongozi wengi wa ccm na ndipo wanapofanyia ufisadi na watu wa takukuru na usalama wanajua hili ila wanafumbiwa macho. Kuna uzi hapa wa mwaka uliokowa ukionyesha ufisadi uliofanyw na mbunge aesh wa sumbawanga kwenye mikoa ya rukwa na katavi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.