Recent content by Zorewaa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Aisee Aisee! Mkuu huyo jamaa mlikua mnamjua vizuri?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Pole mkuu, lkn najiuliza hapa unawezaje kumwamini mtu ukampatia 19M eti akutengenezee zingine? Au kuna ushirikina hua unatumika vp?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

    Yeah kina steve, Tito na nabii elia
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Yeah unachokisema ni kweli, hakuna kbaya juu ya hilo mkuu, lkn kwa kuwa mama ni mlezi wa familia anategemewa ajue nn preferable foods kwa 'wanae' then from there it's all about her kuamua kipi kipikwe siku husika, hiyo huenda ikapunguza kero wanazozieleza kina baba hapa.
  5. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😂😂😂😂 aisee!
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? 🤗
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😁😁 mkuu lkn Alikuuliza nikuandalie nn?
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Hata kwenye kupika pia unaweza weka mipango pia mkuu, km 'my wife' wa mdau aliyeweka mipango ya wiki nzima
  9. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Mkuu inaonesha umepata perfect, ideal husband coz kila malalamiko ya wanaume humu umekua ukiyaponda na kudai 'hubby' wako hayupo hvoo 😄
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😂 duh! Hata kuitwa baby kumbe kunachoshaga sometimes!! Ila mkuu hapo mwenzio si anakua anadekaa kwa 'dadii', au hata kabla ya ndoa ulikua hupendezwi nalo?
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😄 mkuu hapo ni baada ya kutibuana ama?
  12. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😂Aisee! Kumbe watu mkizoeana ndo kunakuaga na vituko kiasi hicho!? Kwahyo mkuu unakula wife anakuangalia tu?
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Nn chanzo cha hayo yote mkuu?
  14. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unatumia muda gani kufukuzia demu

    Mkuu si ndo huyo umesema hamjatafutana tena baada ya hapo?
Back
Top Bottom