Habari!
Mwaka fulani mkoa fulani nilikuwa nakaa kwa dada yangu, huyo Dada ameolewa. Mara Paap! Mdogo wake Shemeji yangu akaja kwenye huo mkoa kwa ajili ya kuanza Chuo na akafikia hapo kwa kaka yake.
Bahati nzuri Dada na Shemeji walikuwa wapo mkoa mwingine kwa muda huo, hivyo pale nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.