Recent content by zongok

  1. zongok

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Hawa wanaogopa kibano huko upinzani sasa waneona wajisalimishe mapema , Vizur sana wameona mbali mwisho WA siku kila MTU anapigania tumbo lake!!;
  2. zongok

    Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Mbona sijaelewa hapo Kamanda hajataja jambazi aliyemjutuhi meja WA jeshi hapo PILI imekuaje kutoa jina na location alipo mtoa taarifa katika utendaji WA kikachero ni hatar kutoa jina na location na shughul ya mtoa taarifa sijaelewa kifupi hapo
  3. zongok

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Nchi ya kusadikika sasa, Yule ayeondoka kabla yake alikuwa na wafanyakazi hewa maelfu, wapiga dili kibao bado aliweza kuongeza mishahara na kuongeza nyongeza kwa watumishi wa serikali aliwazaje Yule jk mstaafu ??? Huyu amezuia mianya ya matumizi serikalini, kaondoa wafanyakzi hewa , kodi...
  4. zongok

    Siku ya 7: Tundu Lissu bado amelazwa ICU na hawezi kula, kuamka na kuzungumza na yeyote

    Vizur Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
  5. zongok

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Hahahahaha What comes around goes around Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
  6. zongok

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Wewe , Hii kazi hutangazwa unapeleka CV Na jopo la wataalamu hupitia na kisha humpitisha mmmoja na kufanyiwa interview kisha huangalia research zilizofanyiwa rectification approval na. Ndio mshindi huitwa na kuwa director kwenye kituo huska, upo hapo ndugu soma vigrzo kwenye www.unwho.org
  7. zongok

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Nitumbue kwenye ujinga , nitambulike kwenye wenye akili , Kapige kazi shangazi utaalaamu wako uko kimataifa ##!
  8. zongok

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hii ndio tofauti kati ya siasa na utaalam , nitumbue kwenye upuuzi nitumikie kwenye wenye akili Haya , message sent!!!
  9. zongok

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Karudi kiserikali zaidi ndiovmaaana haoni hata makovu yanakuwa kila siku , ongea ukweli kwenye ukweli sio hekaya za abunuasi na mifumo pofu kwa wenye akili hahaha Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
  10. zongok

    Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

    Movie ingekuwa ni *@Action comedy, movie ingeitwa "* The You Can't Cheat Truth"* ivo yaani
  11. zongok

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Clounds hyo jamaa ni ndugu yenu mkubwa hamkujua kuwa akili yake ndogo sana kwenye kufikiri na kutatua matatizo ona sasa kaingia kama jambazi vile tena night ile dah!!!! Poleni sana ila mjifunze jambo hapo , na kwa malaka ya nidhamu na uteuzi wana jambo moja tu LA kufanya kama ilivyokuwa kwa...
  12. zongok

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Hii movie inakaribia kuisha ngoja tusikikizie ila nakumbuka chanzo ni vyeti tu
Back
Top Bottom