Recent content by Zollensky

  1. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Aisee, unywaji uliopitiliza ni tatizo.
  2. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Daaah, ningekimbia huo mtaa, inaonekana Israel aliweka kambi hapo.
  3. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Vitu gani hivyo Mkuu?
  4. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Acha tu Mkuu. Kuna mtu tulipotezana miaka 4 hivi, nikaja kuambiwa mbona tushazika mwaka sasa umepita, nikabaki kushangaa 😢😢 Kuna
  5. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Hatunae tena, hata mimi bila kuona amepostiwa Twitter nisingejua kama amefariki.
  6. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Daah, ndio maisha lakini, Inasikitisha sana.
  7. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Chanzo cha kifo sifahamu, anaitwa Adrian Hilary Stepp
  8. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Daaah, nimecheki avatar yake hapa JF imeandikwa R.I.P, nimelia, jamaa alikuwa anapenda ucheshi na utani mwingi. Apumzike kwa amani😭😭
  9. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Inasikitisha, vifo vingine unakuja kuambiwq tu jamaa tushamzika mwaka sasa umepita, unabaki na butwaa.
  10. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Ameondoka hatorudi tena Duniani, huu ukweli ndio unaouma na kufanya kifo kionekane ni ukatili.
  11. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Daah, ndio maana sijamuona humu ndani kitambo, sikujua kumbe ndio mazima. Kifo kinafanya maisha uyaone ni upuuzi.
  12. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Nimeumia imekuwa gafla Kifo hakina huruma jamani 😭
Back
Top Bottom