Recent content by Zoka Paul Mabusi

  1. Z

    Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL. Waliokuita tumbili wao ndio matumbili

    Rahisi Pombe afunguliwe kesi ya chochezi dhidi ya Jaji Warema"Rahisi kasema Walio mwita Kafulila Tumbuli watageuka wao tumbili kana kwamba ataka kuonesha kwamba Jaji Warema alisema kauli hiyo kwa ubaya Kitu ambacho si kweli na jaji warema Kakanusha vikali Hakuwa na amaana mbaya ila ajabu Rahisi...
  2. Z

    Viwanda bila rural farmers scheme(rfs) na bila bei ya vyakula kushuka ni uwongo wa kisiasa

    Namtaka Rais atoe kauli ya je ni lini taifa litakuwa na rural farmers scheme(rfs) itakayokuwa na uhusiano na viwanda husika vinavojengwa maeneo husika kulingana na kilimo husika kwa miajili ya kupata malighafi. Viwanda bila mali ghafi ni kuwahadaha watanzania.Kama serikali ilivyoshindwa...
  3. Z

    Raisi atoe tamko juu SDRS ya Tz ndani ya IMF ktk kupata uchumi usio chini ya neo colonialism

    SERIKALI ZALENDO ILIPASWA IELEZE WATZ NAMNA IMEJIANDAA KUJITOA KTK MASHIRIKA KANDAMIZI KAMA IMF (International Monetary Fund) Ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu ktk njia ya kunufaisha mataifa ya wazungu. Namtaka Raisi John . Pombe Magufuli atoe tamko ya namna tutachukua pesa zetu...
  4. Z

    Rais atoe kauli juu ya Special Deposit Right(SDRs) ndani ya IMF

    Serikali zalendo ilipaswa ieleze watanzania namna imejiandaa kujitoa katika mashirika kandamizi kama IMF (International Monetary Fund) ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu katika njia ya kunufaisha mataifa ya wazungu. Namtaka Rais john Pombe Magufuli atoe tamko ya namna tutachukua...
  5. Z

    Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    Naungana na raisi mtaasfu Allhasani mwinyi ktk kushauri serikali kama inania yadhati basi iwaandae wananchi kifikra kuhusu uchumi wa viwanda. fursa zilizopo(Mitaji na uwekezaji) na michanganua ya viwanda vidogo na vyakati kwa kuandaa semina kutumia medias,kuingiza kwenye mtaala wa elimu masomo...
  6. Z

    Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    Naungana na raisi mtaasfu Allhasani mwinyi ktk kushauri serikali kama inania yadhati basi iwaandae wananchi kifikra kuhusu uchumi wa viwanda. fursa zilizopo(Mitaji na uwekezaji) na michanganua ya viwanda vidogo na vyakati kwa kuandaa semina kutumia medias,kuingiza kwenye mtaala wa elimu masomo...
  7. Z

    Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    Serikali haina tafiti za kutosha kuhusu ongezeko la kuzalina watu madhara yake kwenye ukuaji wa uchumi,pi haija tenga maeneo maalumi ya viwanda vijijini na mijini (LOCALIZATION).PAMPOJA NA madhara ya watu kuhama vijijini kuja kurundikana mijini(RURAL-URBAN EMIGRATION) NA MADHARA YA UKUAJI...
  8. Z

    Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    hahahahaaaa siwezi sema AMINA haaaa
  9. Z

    Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    Nashauri serikali ituambie ni mrengo wa teknolojia ya aina gani tunapo kwenda katika uchumi wa viwanda tutatumia.Hata wawekezaji hawaambiwi tunasikia chapuo ya raisi kuwa viwanda vitaleta jaira lakini je vile vilivyopo au vipya vikitumia mfumo au mrengo wa CAPITAL INTENSIVE METHOD OF PRODUCTION...
  10. Z

    Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Ni ajabu kwa mtindo wa kamata kamata za masaa 24 kuendelea hasa kwa viongozi wa upinzani lakini huoni baaada ya masaa hayo hatua kali za kumfikisha mhusika mahakamani zikichukuliwa,Mashirika ya siyo tengeneza faida (n.g.o.'s) katika swala la wanafunzi wajawazito kuendelea na shule bado haya...
  11. Z

    Uchumi wa viwanda bila kukusanya akiba za Watanzania wa chini, viwanda vitanufaisha wachache

    Soko la ndani ni dogo sababu ya uwezo mdogo wa wananchi kununua bidhaa. Uwezo mdogo wa wananchi kujiwekea akiba inapelekea uwekezaji mdogo na viwanda kutokukua n.k. Ugumu wa upatikanaji mitaji na riba kubwa huwezi kuzaa viwanda. Serikali inahadaa wananchi waliokosa matumaini wanaona kama kuna...
  12. Z

    Uchumi wa viwanda walemavu wakumbukwe

    hamna vision siyo mpo kwenye mchakato
  13. Z

    Uchumi wa viwanda walemavu wakumbukwe

    RESIDUAL UNEMPLOYEMENT huu ni ukosefu wa ajira kwa watu wenye matatizo kama ulemavu wa akili au viungo,Ni wazi Raisi magufuli hajaweza kusimama kugusia namna atasaidia makundi haya ktk swala la wao kujiajiri na hata kuajiriwa nashauri eande shule ya walemavu virunguti akaone namna wagonjwa wa...
Back
Top Bottom