Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL. Waliokuita tumbili wao ndio matumbili

Ni mnafiki tu, kamsifia kwasababu siyo mbunge,huko huko kigoma kuna mbuge wa cdm kambgua live
Angalau hata angekuwa anasifia kwa unafiki ingetosha
kuliko wanaobeza.Kwa mwenye akili ataelewa
kwamba kuna kitu kilifanywa na fulani.
Hata huyo aliyebaguliwa muda wake
wa kuinuliwa ukifika atainuliwa tu, kikubwa apige kazi
Wanadamu tusipomkumbuka Mungu atamkumbuka.

Naamini Mheshimiwa mwenyewe anakumbuka
alivyopigwa vita mpaka akaomba ulinzi
kwa rais nkapa.Hakuomba ulinzi asidhuriwe na upinzani
bali wale walioitwa kilulacho kinguoni mwako,
kama si mwenyezi Mungu urais asingepata.
Hivyo Tusiogope kubaguliwa.Historia itajieleza yenyewe
wakati ukifika.
 
Mlikula sana na kunywa juice magogoni kipindi cha mzee wa MSOGA
akawaomba, kuwabembeleza hata mlipomtukana sasa ni nyakati nyingine no time to waste kuitana ikulu na kunywa juice. Usipoheshim utawala uliopo kwa kuishi kwa mazoea itawacost na kuwapotezea sana mda CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee bora mama ako angekuminya kwenye kinena wakati anakuzaa, maana unatema mashudu ya facebook balaa
 
Angalau hata angekuwa anasifia kwa unafiki ingetosha
kuliko wanaobeza.Kwa mwenye akili ataelewa
kwamba kuna kitu kilifanywa na fulani.
Hata huyo aliyebaguliwa muda wake
wa kuinuliwa ukifika atainuliwa tu, kikubwa apige kazi
Wanadamu tusipomkumbuka Mungu atamkumbuka.

Naamini Mheshimiwa mwenyewe anakumbuka
alivyopigwa vita mpaka akaomba ulinzi
kwa rais nkapa.Hakuomba ulinzi asidhuriwe na upinzani
bali wale walioitwa kilulacho kinguoni mwako,
kama si mwenyezi Mungu urais asingepata.
Hivyo Tusiogope kubaguliwa.Historia itajieleza yenyewe
wakati ukifika.
Yahani tubaguane alafu tuiachie historia!!!,......
 
Hapo akisifiwa zitto, utasikia "ccm b"
Zitto akim bwatukia Lissu anaua upinzani ila cdm viongozi wakimwita zitto msaliti ni sawa tu yaani ndio kujenga upinzani ....hii safari bado ndefu sana
 
Fedha ya Escrow Kama ni ya Serikali kwanini ziliwekwa kwny Account ya Tegeta Escrow?

Fedha ya Escrow itakuwa ya Serikali pale tu itapokuwa IPTL ni ya Serikali!

Umetumia Umeme wa IPTL wamekuletea Invoice ukailipa lakin badala ya kuilipa direct IPTL unaamriwa uilipe kwny Account ya Tegeta Escrow kwa kuwa wanahisa wa IPTL wao kwa wao wana Mgogoro Eti baada ya Muda unajigeuza Fedha ile ni ya Serikal

Tuache kuamini report ya CAG wataalam wa Masuala ya Fedha na Uhasibu tukaamini report ya kina Deo Filikunjombe Mstaafu wa Jeshi la Polisi kwa Cheo cha Sagent na Zitto Kabwe aliekuwa na Maslah binafsi kutokana na ugomvi wake na Kina Seth na Prof Muhongo

Ukweli hautegemei idadi ya wanaoukubali au kuunga Mkono, unategemea Facts

Ukweli ni kwamba kulikuwa na pesa za serikali na pesa za iptl kwenye account ya escrow lkn badala ya kukokotoa ili mgawanyo ufanyike pesa zote wakalipwa mzee Ruge na kalasinga tena mwenye kampuni hewa.
 
JPM anaziba watu midomo wasitoe maoni na kudhibiti bunge. JK asingeruhusu watu waongee akina Kafulila wasingeonekana
 
Rahisi Pombe afunguliwe kesi ya chochezi dhidi ya Jaji Warema"Rahisi kasema Walio mwita Kafulila Tumbuli watageuka wao tumbili kana kwamba ataka kuonesha kwamba Jaji Warema alisema kauli hiyo kwa ubaya Kitu ambacho si kweli na jaji warema Kakanusha vikali Hakuwa na amaana mbaya ila ajabu Rahisi Pombe kamtengenezea mazingira aonekane atageukiwa na serikali hiyo ni uchochezi,yeye je nani wa kumkamata?Mkuu wa wilaya au Siro?
 
Una matatizo ya akili wewe

Mbona hueleweki umeandika nini hapa? Mijitu mingine bhana!
 
Rahisi Pombe afunguliwe kesi ya chochezi dhidi ya Jaji Warema"Rahisi kasema Walio mwita Kafulila Tumbuli watageuka wao tumbili kana kwamba ataka kuonesha kwamba Jaji Warema alisema kauli hiyo kwa ubaya Kitu ambacho si kweli na jaji warema Kakanusha vikali Hakuwa na amaana mbaya ila ajabu Rahisi Pombe kamtengenezea mazingira aonekane atageukiwa na serikali hiyo ni uchochezi,yeye je nani wa kumkamata?Mkuu wa wilaya au Siro?
Uzi wa kijinga km sio wakipumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu napata picha ulichokua umekilenga achana na hawa ambao hawajaona zaidi ya maandishi yako ila jaribu kua makini na maneno unayoandika mfano rahisi, warema n.k
 
Rahisi Pombe afunguliwe kesi ya chochezi dhidi ya Jaji Warema"Rahisi kasema Walio mwita Kafulila Tumbuli watageuka wao tumbili kana kwamba ataka kuonesha kwamba Jaji Warema alisema kauli hiyo kwa ubaya Kitu ambacho si kweli na jaji warema Kakanusha vikali Hakuwa na amaana mbaya ila ajabu Rahisi Pombe kamtengenezea mazingira aonekane atageukiwa na serikali hiyo ni uchochezi,yeye je nani wa kumkamata?Mkuu wa wilaya au Siro?
usinidiss kwa kiswahil km hujui hata ukiandika
 
Ukweli ni kwamba kulikuwa na pesa za serikali na pesa za iptl kwenye account ya escrow lkn badala ya kukokotoa ili mgawanyo ufanyike pesa zote wakalipwa mzee Ruge na kalasinga tena mwenye kampuni hewa.
Mkuu kuna kitu kina nipa ukakasi sana hivi seth alitoa sh ngapi kuinunua IPTl maana naona pesa iliyotumika kuinunua IPTL ni pesa ya wabia wawili yaan mac na ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rahisi Pombe afunguliwe kesi ya chochezi dhidi ya Jaji Warema"Rahisi kasema Walio mwita Kafulila Tumbuli watageuka wao tumbili kana kwamba ataka kuonesha kwamba Jaji Warema alisema kauli hiyo kwa ubaya Kitu ambacho si kweli na jaji warema Kakanusha vikali Hakuwa na amaana mbaya ila ajabu Rahisi Pombe kamtengenezea mazingira aonekane atageukiwa na serikali hiyo ni uchochezi,yeye je nani wa kumkamata?Mkuu wa wilaya au Siro?
kule kuna vijana wa ufipa hawatumii akili za kichwani kuwaza ila nazani kuna matundu chin ya mwili ndio huwaongoza kuwazaaa,,,,,,,,,, hizo tundu msizitumie kuwaza sio kazi yake ndio maana unaleta ujinga hapa mkijiona wajanja kumbe vyuduuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bunge hili kibogoyo Madudu yataendelea kuwepo sana
Enzi zile bunge `lilipokuwa na meno' madudu yalikuwa mengi, ukilinganisha na sasa ambapo bunge `halina meno' lakini madudu yanazidi kuuliwa. Bora kipi sasa!
 
Where there many people You can not stop stealing instead control 'Ninacho waza mimi sicho unacho waza wewe hata km una madaraka makubwa kuliko mimi na kuongoza nchi nitofauti na kuongoza familia
 
Si wote wapo ccm, na wabunge wa ccm wakashadadia kwa kumshangilia mwana ccm mwenzao! hao ndio ccm bana kamwe hawawezi kubadilika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom