Recent content by zoghoo

  1. zoghoo

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Daaa!! Ucjal naomba unicheki nikufanyie nusra ya ndoa. Usife moyo achana na huyo firauun. Njoo kwangu hakika utayasahau yote hayo
  2. zoghoo

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Sijui chochote ila nafikiria kuwa makosa yamefanyika. Kanakwamba pesa hizo wamepewa kwa ajili ya kazi husika na hatimaye hakuna kilichofanyika tukabaki stagnant na ikiwa pesa ipo watu wamekwenda kuiweka kwa self interest. This is not good
  3. zoghoo

    Whatsssssss!!!!!!!!!????

    Unazingua man
  4. zoghoo

    Walimu watatu watiwa Mbaroni kwa kuwazuia wanafunzi kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne

    Miwalimu mingine inafaa ipelekwe milembe tu ikawapate course na wenzao kule.
  5. zoghoo

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Mkwepa maswali yetu kinehe. Akiulizwa hivi anajibu vile mi naona kama anatuchanganya tu.
  6. zoghoo

    Mbowe Amtaka rais Magufuli Amtumbue Waziri Mkuu

    Kwa kuwa haki nchi hii ilishaga fariki kwa hali hii tutaumia sana. Kama mafisiem wanafanya ukuda wa namna hiyo serikali imefumbia jicho. Hii ni aibu ya nchi nzima
  7. zoghoo

    Ni uongo gani mkubwa uliowahi kuambiwa utotoni?

    Niliambiwa Albino hawafi ila wanapotea. Kumbe sio kweli alibino wanakufa kama binadamu wengine
  8. zoghoo

    Nafunga mjadala, Waziri Nchemba usitudanganye tena na zaidi

    Nouma imetokea pasipotarajiwa. Amaaa kwl Mungu hutuonyesha tusivyokuwa na uwezo wa kuviona. Magu haya kazi kwako mdau
  9. zoghoo

    Kupigwa kwa Mwanafunzi: Je, Mawaziri wetu hawana kazi?

    Naomba kuiona hiyo video wadau wa Jf
  10. zoghoo

    Kupigwa kwa Mwanafunzi: Je, Mawaziri wetu hawana kazi?

    Mishahara dusko.. Watu wanamalizia hasira zao kwa watoto
  11. zoghoo

    Share experiences kama umeshawahi kuuza au kununua Papuchi

    Mh! Hizi mada nyingine bwana zimenikalia kushoto kweli.
  12. zoghoo

    Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Mi hata cjawaelewa bado. Na pia kuna viongozi wengine wanakariri wenzao wakigomea suala au azimio lolote lile pasipo yeye mwenyewe kufanya investigation. Try to prior your good thought before making direct decision.
  13. zoghoo

    Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha

    Njoo nikusugue mpendwa..
  14. zoghoo

    Hongera Ndugai kwa mechi ya Simba na Yanga

    Sahihi. Lakin pia usichanye siasa na michezo maana michezo ni burudani. Siasa ni mfumo wote wa muendelezo wa utawala na maisha ya raia... Hivyo baasi naomba ulitambue hilo kuwa wembe ni ule ule when you going wrong we reprisal soon as possible
  15. zoghoo

    Mpenzi Kabadirika...nikitaka tendo la ndoa , ananipa vifungu vya bible!

    Hahahahahaaaaaa ujue kuna mwenzio wa kupewa papuchi. We nyota yako inaendana na andiko la bible. So stay silence to listen word bible.
Back
Top Bottom