Recent content by zoeman

  1. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Wewe unafika ngap?
  2. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Gx100 bado ipo any serious buyer n pm!!!
  3. zoeman

    Kweli kupata kazi ni kazi

    Mungu n mwema bro, tungependa kujua uko wap kwa sasa?
  4. zoeman

    Mashamba ya kukodi na kununua Rufiji

    Habarini wanajamvi Naomba kujuzwa upatikanaji wa mashamba ya kukodi na kununua huko rufiji uko vipi? Siku za nyuma nilianzisha thread ya mashamba ya kukodi huko ruvu, na napenda kuwashukuru sana wale waliotujuza wengi na taarifa za mashamba huko ruvu, nilikuja kufahamu kuwa shamba la kukodi...
  5. zoeman

    Tablets,s3, s4, s5

    Asante sana pastor kwa taarifa nzuri!!!
  6. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Samahanini sana wadau nafikil kuna namna ya makosa yalifanyika but anyway, iko hv gari mpaka sasa imetembea km 190,300 na bado iko kwenye hali nzuri sana any serious buyer ani pm kwa ajiri ya hatua nyingine.
  7. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Sio 19000 n 190,000
  8. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    N 190000km, cjakupata vizuri hapo, wewe unaionaje?
  9. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Cresta!!!
  10. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Jivute vute mpaka 6.5 biashara ifanyike uko chini sana we mwenyewe si unaiona hiyo gari bado iko vizuri sana tena sana!!!
  11. zoeman

    Invoice & Receipt Book

    Unahitaji vitabu vingap na ukubwa gan? Tunaweza tukafanya kazi kwa bei nafuu kabisaa!!!!!
  12. zoeman

    Tablets,s3, s4, s5

    Habarini ndugu zangu, kwa upendo tu, naomba mnijuze kati ya tablets, s3, s4, au s5 n ipi kat ya hz zinazohitajika na kupendwa sana na watu. Nina mpango wa kuanza kuagiza bidhaa za nama hiyo na kuuza hapa hapa jamvini, ila kwanza ningependa kujua soko linataka nn? Kabla sijaanza kuagiza, msaada...
  13. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Gx100 bado ipo!!! M6.5
  14. zoeman

    kwenu wana forum nahitaji cresta gx 100 used hapa tanzania

    Hiyo gx100 iko vizuri sana kwa mtu unaye jua magari huulizi!!! Full leather!! Engine iko vizuri sanaaa!!!
  15. zoeman

    Gx100 iko sokoni!!!

    Ilipokuja Tanzania ilikuwa na km 14000 na sasa imefika km 19000
Back
Top Bottom