Gx100 iko sokoni!!!

Gx100 iko sokoni!!!

Macho yangu? Au ndio ilivo. Oddo ni 19000km au 190,000km. Ila kama ni 19000 na hiyo T....BUT ???
 
Ilipokuja Tanzania ilikuwa na km 14000 na sasa imefika km 19000
sio kweli 14000 na sasa ni 1900 nooo...hio gari mpya kabisa na kwa gari zote zinazokwenda bongo ni either recondition au used...ukisema 140000 na sasa ni 190000..nitakubali !!!
 
sio kweli 14000 na sasa ni 1900 nooo...hio gari mpya kabisa na kwa gari zote zinazokwenda bongo ni either recondition au used...ukisema 140000 na sasa ni 190000..nitakubali !!!

Sio 19000 n 190,000
 
Samahanini sana wadau nafikil kuna namna ya makosa yalifanyika but anyway, iko hv gari mpaka sasa imetembea km 190,300 na bado iko kwenye hali nzuri sana any serious buyer ani pm kwa ajiri ya hatua nyingine.
 
Gx100 bado ipo any serious buyer n pm!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom