Recent content by Zitendwa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia. Nisome masomo gani kulingana na hali ya sasa?

    Kuna vyuo vya watu wenye mahitaji maalumu kwa course ya ualimu, unaweza kujiunga huko. Ajira yako pia itakuwa kwenye shule za watu wenye mahitaji maalumu hasa wenye tatizo kama la kwako. Mwenyezi Mungu akutangulie.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Labda alikuwa anatoka shamba kupalilia vitu vyake mkuu🤣 🌱 (Nimetafuta picha ya mjani sijaiona) .
  3. Z

    JamiiForums Tanzania AJABU: Mchungaji Irene Uwoya anauza mafuta ya upako ya kuzuia kuzeeka!!

    Yeye anaoga maziwa wenzake anawapa mafuta ya upako 😀
  4. Z

    JamiiForums Tanzania AJABU: Mchungaji Irene Uwoya anauza mafuta ya upako ya kuzuia kuzeeka!!

    Ujinga umeingia kwenye dini.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Karibu PM tuyajenge MoSantu
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Pole na hongera mkuu.
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Mungu akuongoze upate hitaji la moyo wako. Hongera na pole kwa changamoto ya malezi. Watoto unao wangapi?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    🤝🤝
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Ndiyo ipo. Asante kwa ushauri mzuri. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Kuanzia 4 - 6
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️ @ Madalali
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Shukrani mkuu
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Asante sana Chief
Back
Top Bottom