Mapumziko ni kila baada ya masaa mangapi ? Na wakati wa kupumzika, tunajiburudisha na nini ? Au kivipi ? Nasubiri maelekezo... !!
Nasubiri, sitafuti kazi nyingine...🥰🥰🥰
Siku hizi siingii sana JF, kwa sababu ya majukumu. Ila hii nimekutana nayo mida hii imenilipua kicheko, yaani fundi kaweka mtego wa umeme kwenye chanzo cha maji...🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.