Recent content by Zinnob5

  1. Zinnob5

    Naweza kupata chumba Cha 20k Arusha

    Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
  2. Zinnob5

    Pata mbao bora na nzuri kwa bei poa

    Ipo Mkuu wangu.ujumla na urejareja unakuja kutokana na pisi na size ya mbao utakazo chukua ukichukua pisi nyingi lazima tukupunguzie bei mkuu wangu yani kila pisi unakayo ichukuwa tutapunguza bei kidogo.Karibu sanar mkuu wangu Kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia kupitia 0699432190
  3. Zinnob5

    Pata mbao bora na nzuri kwa bei poa

    Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15 Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥 ⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la buguruni. Jina la ofisi ni MBILINYI TIMBER ⚠️WASILIANA NASI KABLA YA KUJA KUEPUKA UTAPELI...
  4. Zinnob5

    Pata mbao bora na nzuri kwa bei poa

    Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15 Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥 ⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la buguruni. Jina la ofisi ni MBILINYI TIMBER ⚠️WASILIANA NASI KABLA YA KUJA KUEPUKA UTAPELI...
  5. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Asante sana bro ila hayo sio maneno tu nimalengo na nilazima niyatumize
  6. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Eee naona mambo mazur tu ,mambo matamu nakubali sanar bro tuko pamoja
  7. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Asante bro.saiv naanza kuelewa elewa kuhusu hizi course na masoko yake vizur
  8. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Sawa sawa bro uwakika
  9. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Bro mim siishii diploma nataka nisome mpaka niwe na masters
  10. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Nataka nisome computer Engineering halafu degree nitachukua ya computer science Bro
  11. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Mbona shooo tu yani maisha hayo mim nishaa zoea sema namuomba mungu anitia nguvu zaidi na zaidi
  12. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Sawa bro unaitwa bro nani eeeeh
  13. Zinnob5

    Degree ya computer science

    Asante bro asante sana
  14. Zinnob5

    Jinsi ya kubadili course DIT

    Bro mim nipo vizur yani hapa ninahamu ya kusoma kinoma sio siri nimekaa mwezi mingi bila kupiga misuli yangu ya o level (shuleni kwetu tulikuwa tunakwita kubundi )
Back
Top Bottom