Mkuu:
Ikiwa mpaka wa Tanzania ni ufukweni mwa Ziwa Nyasa, hii itakuwa ni dhana potofu, kwani maji siku zote yanahama.
Ukienda pale bandarini (Itungi Port) utakuta ile bandari ya zamani ipo kwenye maji, imezama na kuonekana paa za nyumba tu. Sasa hapo utawezaje kufahamu mpaka halisi.
Kwani ni mara yake ya kwanza kwa kutoa kauli zenye utata?
1. Ninawafahamu na nitawataja viongozi wote wanao uza madawa ya kulevya!!
2. Ni marufuku kwa wabunge wote kuja Dar wakati vikao vya bunge vinaendelea huko Dodoma!!
3. Ni lazima kwa Wanaume wote wa Dar wakapimwe tezi dume!!
Tatizo hapa ni kwamba, hawa TANESCO hawatowi taarifa kwa Umma ikielezea chanzo na sababu ya kukatika umeme mara kwa mara. Na hii inapelekea kwa wateja kuwa na dhana potofu kwa TANESCO.
Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
Hivi wewe umebadilika lini.
Mbona zamani enzi za Mwl. Nyerere alipo vunja uhusiano na Israel juu ya suala la Palestine ulikuwa kimya.
Wacha unafiki umekwishwa kuwa mtu nzima sasa.
Mkuu:
Ukipata nafasi pitia nyaraka za KUWAIT FUND for Development, na ARAB FUND FOR ECONOMIC AND DEVELOPMENT utapata picha halisi ya ufadhili wao hapa nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.