Recent content by Zingiziwa

  1. Zingiziwa

    GE2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Dalili za kushindwa....,,,mnataka sympathy za hiyo ICC sijui
  2. Zingiziwa

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Tusidanganyane,kiongozi mzuri ni yule anayeweza kuongea mbele ya hadhira akavutia n'a kushawishi wasikilizaji. Vipi tukimpa dhamana n'a akatuwakilisha ktk majukwaa ya kimataifa?
  3. Zingiziwa

    Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Ni lini lowassa alikuwa kipenzi cha chadema?? Mmekula matapishi yenu
  4. Zingiziwa

    Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    Mtoa mada kweli hujui kazi ya sanaa,kazi ya sanaa ni situational. Mbona magazeti yote ni lowassa,Hilo hulisemi??
  5. Zingiziwa

    Wadada wa Uchumi Supermarket - Quality Center

    Wabongo bwana kwa kuridhika..kwa hiyo mia mbili au 300 unaiona ndogooo!!
  6. Zingiziwa

    Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Mmmhh!! Mbona vichwa hawafanani?
Back
Top Bottom