Sasa South Afrika, Kenya na kwingineko huko kuna nini kipya zaidi ya uanaharakati uchwara tu? Watu bado maskini vile vile. Hii dunia haiendeshwi kwa maneno na siasa, inaendeshwa na wenye nguvu, wenye akili, wenye subira, wenye vitendo, wenye matokeo.
Wale weusi wa Afrika Kusini wapo bize na...