Recent content by Zima

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Unachukua upinzani wote, halafu!!

    Ccm kama hawatatumia mbinu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, hakika watapata tabu sana, uchaguzi mkuu utakuwa mgumu sana upande wa ccm.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

    Ushauri mzuri Sana.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Brigedia Jenerali Mzee ateuliwa kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza

    Hapo patam. Yetu macho
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Marehemu Horace Kolimba aliitwa ajieleze kwa kusema CCM imekosa dira, apumzike kwa amani

    Tofautisha kolimba na akina membe,makamba na kinana. Kolimba hakuwa askari. Makamba na kinana wrote askari
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Demokrasia makini chasema tutapata ushindi wa “kisulisuli” katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mzee kazeeka, miaka 75 sio mchezo. Hata upeo wakutambua vitu, umepunguwa
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki lijitafakari

    Askofu asifikili sisi waumini ni wajinga. Askofu asifikili waumini wake wote ni ccm.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Chato ni marufuku wagombea wa CHADEMA kupewa fomu za uchaguzi wa mtaa. Ni ‘maagizo toka juu’

    Sisi wanaccm, awamu hii ,tumekuwa waoga sana. Niabu kwa chama change ccm. Tubadilike
  8. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na Demokrasia pande mbili za sarafu

    Bila pesa huwezi shida kula za maoni ndani ya ccm. Mkono mtupu haulambwi
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl. Nyerere, Sehemu ya tatu (3)

    Makundi ndani ya ccm yanatabia ya kutulia kwa mda tu, nakuhakikishia kundi LA lowasa na membe yataungana, in swala LA mda tu wamejifunza kutokana na makosa waliyoyafanya. Nakuhakikishia hawatarudia tena makosa
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    CPU ndio kila kitu mzee
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

    Tatizo wanatuchezea mazingaombwe. Unawaachia kiujanja janja
  12. Z

    JamiiForums Tanzania RPC Lazaro Mambosasa ampuuza IGP, aendelea kujihusisha na siasa za CCM waziwazi

    Sikio LA kufa, huwa halisikii dawa
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

    Uchaguzi mkuu 2020utakuwa mgumu sana kwa ccm
Back
Top Bottom