RPC Lazaro Mambosasa ampuuza IGP, aendelea kujihusisha na siasa za CCM waziwazi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,430
1147759_Screenshot_20191005-221930.png


Ikumbukwe kwamba siku chache zilizopita IGP alikemea tabia ya Askari Polisi kujihusisha na siasa za vyama ambapo alinukuu baadhi ya vifungu vya katiba vinavyowakataza kabisa polisi kujiunga na vyama vya siasa au kushiriki siasa kwa njia moja ama nyingine .

Pichani hapo juu huyo ni Lazaro Mambosasa , RPC wa DSM ambaye aliwahi kuonekana akinywa chai na Manusura MO baada ya kupatikana kutokana na kadhia ya kutekwa kwa siku kadhaa , akishiriki mkutano wa hadhara wa ccm kwenye uwanja wa Taifa , Je amempuuza IGP Sirro ?
 
Kwa akili yako wewe ulimuamini Sirro kuwa alikuwa na nia ya dhati ya kukemea polisi kutojihusisha na siasa za kuilinda CCM? na hata kama alikuwa ana nia ya dhati kweli angeweza kuwazuia? angemaliza hata mwezi mmoja kabla ya kuondolewa? Sirro alikuwa akiwatolea hasira ma RPC kutokana na bifu zao za ndani kwa ndani akaona aje kuwaumbua mbele ya waandishi wa habari,

Utakuwa upo naive sana kuamini eti mtu aliyeteuliwa na Magufuli atalikemea jeshi la polisi kutopendelea chama tawala na akabaki salama
 
Sasa atakataaje mgao wakati akienda hivyo laki mbini unusu kwenye bahasha hakosi.
 
Kwa akili yako wewe ulimuamini Sirro kuwa alikuwa na nia ya dhati ya kukemea polisi kutojihusisha na siasa za kuilinda CCM? na hata kama alikuwa ana nia ya dhati kweli angeweza kuwazuia? angemaliza hata mwezi mmoja kabala ya kuondolewa? Sirro alikuwa akiwatole hasira ma RPC kutokana na bifu zao za ndani kwa ndani akaona aje kuwaumbua mbele ya waandishi wa habari,

Utakuwa upo naive sana kuamini eti mtu aliyeeuliwa na Magufuli atalikemea jeshi la polisi kutopendelea chama tawala na akabaki salama
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Teuzi za Ma-RPC zimetenguliwa na wale wa awali kuendelea kuwepo kwenye mikoa yao kama kawaida
 
Kampeni zimeanza?

mambosasa amethibitisha bila kuacha shaka kwamba hawezi kuliongoza jeshi la polisi kuelekea, wakati na baada ya uchaguzi.

SIRO ANGALIA DAMU ISIJEMWAGIKA CHINI YA UONGOZI WAKO KWA MAKAMANDA WA MIKOA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI.
 
Back
Top Bottom