Unachukua upinzani wote, halafu!!

Unachukua upinzani wote, halafu!!

Wapinzani sio Viongozi ni wananchi ukitaka kuuwa wapinzani usiwasomeshe namba wananchi wako,wadhibiti wasiojulikana, bunge live,leta maendeleo ya watu sio vitu yaani watu washibe kwanza,biashara zitoke,
👊👊👊
 
Ccm kama hawatatumia mbinu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, hakika watapata tabu sana, uchaguzi mkuu utakuwa mgumu sana upande wa ccm.
 
Sihasa hamjaifahamu vizuri ....sijui mtasemaje siku Lissu akiteuliwa kuwa waziri wa sheria na katiba...humu humu kuna watu wataponda na wengine kusifia...na maisha hayatasimama
 
Sihasa hamjaifahamu vizuri ....sijui mtasemaje siku Lissu akiteuliwa kuwa waziri wa sheria na katiba...humu humu kuna watu wataponda na wengine kusifia...na maisha hayatasimama
Sio rahisi hivo.yeyeto aliyeumizwa hawezi sujudia msalaba
 
Katibu Mkuu aliwahi kusema eneo fulani kwamba tunafanya kila njia kwa gharama yoyote kuwarudisha kwenye chama wapinzani

Yeye ni msomi,lakini amewahi kulifikiria hili; kwamba umebeba wapinzani woote mpaka Dovutwa akawa nao kwenye chama chake huku akikumbuka kwamba wale ni wanasiasa, kazi yao ni siasa. Wamefanya siasa maisha yao yote na kwamba sio wote wanaweza kuacha siasa baada ya kuhamia kwake. Atawapa kazi gani huko?

Upinzani sio viongozi, unategemea kiongozi akiondoka wanachama watawafuata?

Vipi kuhusu wapinzani wa asili akina Davy, unadhani wakikutana huko hawawezi kutengeneza kundi la kukisumbua chama?

Na hawa waliokisumbukia chama muda mrefu nafasi yao ya kushiriki siasa ikoje?

Kwanini asifanye jitihada za kuwashamiwishi wananchi wajiunge kwa wingi kwenye chama chake?
Halafu anapinzaniwa humo humo ndani
 
Back
Top Bottom