Wallah nilikua simjui tu huyu mtu makonda na sasa nimemuelewa hongera sana dokta Joseph magufuli kutuletea huyu mtu. Ndio namna ya viongozi wanaohitajika katika ulimwengu huu. Hongera sana makonda
Mimi nachoamini Israeli wanamuogopa sana palestina ndio maana kamuwekea vikwazo vya kununua silaha.
Kama kweli Waisraeli kama wanavyojiita wenyewe na wakipigwa sapoti na makafiri wenzie wawaruhusu Palestine wanunue silaha then ndio watuthibitishie uteule wao.
Eti una SMG kisha unapigana na...
Bora tutawaliwe na mafisadi wa CCM gesi yetu ya mtwara tutanufaika wote japo kiduchu kuliko kuwapa nchi CHADEMA halafu papa aichukue yote kwa maendeleo ya Vatican.
Eti kanchi kadogo Vatican hakazidi hata square meter 10000 halafu kana uchumi mkubwa kuliko USA! Kama si wizi nini hakina madini...
Mtoa mada mimi sijaona jipya hapo kama ulivyosema yeye baba yake ni muumini na mama yake ni kafiri, sasa mtoto kaamua kuwa kafiri hapo kauwasili vipi uislamu?
Pia hapo kwa papa nazidi kupata hofu na dini yenu yaani nyinyi mtu akikulia katika uislamu then akawa kafiri papa uwa anafurahi!
yote...
Hakuna vunja jungu katika uisl am ila makafiri wameanzisha ili kuupaka tope uislam,tunajua waislam hatupendwi na makafiri[watoto wa sheitwan] hivyo hatushangai so hakuna jipya
Mkuu usibishe samaki mtu kweli yupo,nakumbuka siku moja[2001] nilizinguana na demu wangu so nikaenda kutuliza zangu akili pwani kisiwani pemba,ilikua jioni flani hivi na eneo hilo nilikua peke yangu ghafla nikaona kiumbe kama demu anaogelea katika kina kirefu cha bahari kuu ya pemba[wapemba...
Amani ya Tanzania imeshikiliwa na watu dhaifu tena wenye mapenzi na nchi yao{waislam} ila siku watakapochoka kukandamizwa huku nahisi ndio mwisho wa amani ya Tanzania,kwan ngoma ikilia sana mwisho wake mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.