Recent content by zillo one

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkopo wa Tshs 1,200,000/=

    naomba kueleweshwa jinsi ya kulipa na masharti ya ulipaji wa mpawa
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Green-house makers na maendeleo ya kilimo

    mkuu unaongelea green house au screen house..?? wafahamishe watu tofauti ya hizo mbili kwanza...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    waenglish safi sana ni goodmorng.. goodafternoon... goodevening... haijalishi umemzidi umri au anakuzidi au mnalingana... hii yetu ya shikamoo kweli itakuwa ni ya enzi zile za kitumwa...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Professor Mhongo Aondoka,Load Shedding & Power Cut Yarudi

    morogoro umeme umekatika kutokana na hitilafu ya nguzo kutokana na mvua ilonyesha.. huyu mtoa mada sijui anaongelea morogoro ipi..
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete kuzindua jengo hili Moshi mjini kesho

    teh teh..jf bana eti anatembea na kamkasi mfukoni..
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete kuzindua jengo hili Moshi mjini kesho

    hahahahhh....
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

    natumia simu.. android
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

    mfano hapo mkuu copenhagen ulivyo fanya
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

    kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

    duh.. nipeni msaada sio lugha za matusi..
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

    msaada jamani nikitaka ku quote post ya mtu nafanya vp..??
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    ahsante kwa ushauri mzuri mi niko morogoro.. ila ndo kwa mara ya kwanza nataka nijaribu..
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    amani kwenu wajasiliamali. nahitaji kulima mahindi msimu huu ila nimelenga soko la kuyauza yakiwa bado mabichi.. naombeni uzoefu kama kuna aliyewahi fanya hivi kuhusu faida.. nalima ekari mbili
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

    hapa nchini wanapima hizo D 32??
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    wakuu naomba msaada wa jinsi ya kupata access ya jukwaa la dini..
Back
Top Bottom