mfano hapo mkuu copenhagen ulivyo fanya
dogoo sasa viabudu vinakutoa jasho je ukipanda matreni ya huku mambele siutajam...kitu kinaserereka maamae hadi ikikupita rangi huikumbuki ni laana chaliiyangu. Ukiona inavyokatiza hilo daraja kifaa kinabwaka kikiibuka maamae mpo stockholm. Kikizama tena na kichomoze mpo oslo. Kweli Mzungu hajakariri kasoma nakuelewa.
natumia simu.. android
Kama unatumia simu,tafuta post unayotaka kui- quote,touch screen zitakuja opt mfano REPLY,QUOTE etc,clic QUOTE kisha andika unachotaka kuandika kisha SUBMIT,kama sikueleweka watasaidia wadau wengine.
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.