Ni kweli democracy iheshimiwe lakini yeye mwenyewe kisha sema hataki vipi umlazimishe?
Mtu amekataa kuongeza chakula vipi umlazimishe? Eti kwa kuwa ww unataka
Maoni yangu inapaswa nkami.. Ashtakiwe kwa kulazimisha uvunjaji wa katiba
Kipara usilinganishe cdm na chama chenu unaangalia tu aliosema nje mbona huhitaji yaliosemwa ndani? Lowasa kuondolewa cdm sio kwa kauli yako ni maamuzi ya chama wala ww huwezi kujua ni faida gani cdm wamepata kwa lowasa kuingia ikulu
Kwa faida yako shinikiza ikulu ltoe mazungumzo yao alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.